Friday, April 29, 2016

D1
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mahandisi Isack Kamwela akijibu swali la Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea leo Bungeni mjini Dodoma alilotaka kujua ni lini Serikali itamaliza tatizo sugu la maji katika Jiji la Dar es salaam.

D2Naibu waziri ofisi ya waziri Mkuu Mkuu Sera, kazi, Ajira, Bunge, Vijana na walemavu Dkt. Abdallah Possi akijibu la Stella Ikupa Alex (Viti Maalum) alitaka kujua upatikanaji wa zabuni za kazi kwa watu wenye ulemavu leo Bungeni mjini Dodoma.
D3Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu Jenista Mhagama akifafanua jambo Bungeni leo mjini Dodoma.
D4Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea akiuliza swali leo Bungeni mjini Dodoma alilotaka kujua ni lini Serikali itamaliza tatizo sugu la maji katika Jiji la Dar es salaam.
D5Silafu Jumbe Maufi (Mbunge Viti Maalum) akiuliza swali leo Bungeni mjini Dodoma alilotaka kujua ni lini Serikali iatamaliza tatizo la upungufu wa vifaa vya kufundishia somo la TEHAMA na walimu wa masomo hayo katika mkoa wa Rukwa.
D6Wabunge walio katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.
D7D8Baadhi ya wageni wakifuatilia mkutano wa Bunge leo mjini Dodoma.

0 comments:

Post a Comment