DAR
ES SALAAM: Baadhi ya watu waliodai kuwa wao ni waumini wa Kanisa la
Mtakatifu Petro,
Oysterbay jijini Dar es Salaam ambako anaabudu Mbongo Fleva na Miss Tanzania No. 2, 2006, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ wamesema nyota huyo hatakiwi kushiriki ibada kwa vile uhusiano wake na Mbongo Fleva, Ali Kiba upo wazi sana, sasa kanisa hilo limetoa tamko, tambaa na Amani.

0 comments:
Post a Comment