Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiongoza kikao cha kazi na watendaji wa serikali wakiwemo
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Eng. John Kijazi, pamoja na ma-Katibu wakuu Wizara ya Mawasiliano
Profesa Faustine Kamuzora, Katibu Mkuu Fedha na Mipango Dkt. Servacius
Likwelile, Naibu Katibu Mkuu Fedha na Mipango Mhe Dottoa James, Gavana
wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu, Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania
Bw. Alphayo Kidata, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino
Mlowola pamoja na uongozzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na
watendaji wengine. PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment