Habari ya town kuanzia April 5 2016 ni ya mtangazaji Gardner G. Habash kutangaza kurejea kwenye Radio aliyoacha kuifanyia kazi December 2010 ambapo amepata mapokezi makubwa kuanzia
kwa Wasikilizaji mpaka Wafanyakazi wa Clouds mjengoni, bonyeza play hapa chini kusikia maswali aliyoulizwa na maneno aliyoyatamka Gardnerbaada ya kurejea.
BOFYA HAPA KUMSIKILIZA
0 comments:
Post a Comment