Posted by Williammalecela.com on Friday, April 15, 2016
Mamba huyo akipanda uzio.
Rajasthan, India
HAYA ni maajabu ya dunia; Mamba mmoja amenaswa hivi karibuni akipanda fensi yenye urefu wa futi nne kabla ya kutumbukia ziwani huko Boondi, Rajasthan, India Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment