Saturday, April 23, 2016

"Jana katika bunge nikiihoji serikali ni lini serikali itatatua kero ya Pembejeo za Kilimo kutofika kwa wakati kwa wakulima,
kuchelewa kufika kwa mbegu na mbolea kwa wakulima kunaondoa dhana nzima ya kumsaidia mkulima na lile lengo la kumnufaisha mkulima halitimii....Serikali imeahidi kujipanga vizuri na kuweka mikakati mizuri kuhakikisha mbolea na mbegu zinafika kwa wakati.." - Mh. Neema Mgaya


0 comments:

Post a Comment