Posted by Williammalecela.com on Wednesday, April 27, 2016
 |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala azindua mradi wa uimarishaji wa mifumo ya sekta ya umma mkoani Mbeya
Ameishukuru shirika ka la maendeleo la marekani( USAID) kufadhili mradi
huo ambao utasaudia kuondoa Kero la watumishi hewa, mawasiliano ndani
ya serikali na kwa wananchi na pia itaboresha mapato na kudhibiti
upotevu wa mapato. |
0 comments:
Post a Comment