Posted by Williammalecela.com on Tuesday, April 12, 2016
Mkuu wa Mkoa atoa siku 6 ombaomba kuondoka mabarabarani, awataka wamiliki wa majengo watengeneze sehemu za kuegeshea magari.
Pia awataka wamiliki wa bar wanaowapigia watu kelele wafuate sheria walizopewa kama ni mwisho saa sita kupiga muziki iwe hivyo..
0 comments:
Post a Comment