Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadickyakitia saini katika kitabu cha
wageni alipotembelea ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Hai hii leo.
Mkuu
mpya wa wilaya Hai , Gelasius Byakanwa (kushoto) akimuelekeza jambo Mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick alipotembelea ofisini kwake
mapema hii leo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akizungumza na watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Hai.
Mkuu
mpya wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akitoa taarifa ya wilaya hiyo
kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick alipotembelea ofisini
kwake mapema hii leo.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Hai ,Said Mderu akiandaa taarifa kwa ajili
ya kukabidhi kwa mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick.
Mkuu
wa Polisi wilaya ya Hai ,OCD Pancras Mdimi akifuatilia taarifa ya wilaya
iliyokuwa ikitolewa kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadick akisoma ubao wenye majina ya
wakuu wa wilaya waliowahi kufanya kazi katika wilaya hiyo .
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akiongozana na Mkuu mpya wa
wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa wakati wakitoka katika ofisi ya mkuu
huyo wa wilaya. Picha na Dixon Busagaga wa Globua ya Jamii Kanda ya
Kaskazini.








0 comments:
Post a Comment