Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Akutana na Chama cha waandishi wa Habari mkoani Mbeya
Aeleza mikakati na vipaumbele vyake katika Mkoa wa mbeya ikiwemo , utatuzi wa Kero kwa haraka,Ulinzi na usalama kwa kuhakikisha jeshi la polisi linapambana na majambazi, usimamizi na ufuatiliaji miradi yote ya maendeleo
inatekelezwa kwa viwango vya juu, miji na jiji kuwa na master plan,kushughulikia migogoro ya ardhi na uuzaji holela ardhi na maeneo ya wazi , usafi katika miji na jiji , kuhakikisha Kero ya madawati inamalizwa, Mkoa kujitosheleza kwa Chakula, kuandaa fursa zitakazoongeza ajira, kuendeleza Michezo

0 comments:
Post a Comment