Thursday, April 28, 2016

9
Mr flavour amesaini dili jipya na kampuni ya bia.
Hivi karibuni mastaa kibao wa Nigeria wameonekana kuchangamkia fursa kwa kusaini mikataba na makampuni kadhaa na kuwafanya akaunti zao za benki kuongezeka.

Flavour amefanikiwa kusaini mkataba wa kuwa balozi wa Life Beer inayotengenezwa nchini Nigeria. Kwenye akaunti yake ya instagram mr Flavour alipost picha akiwa anasaini mkataba huo na kuandika: “Life is good  Golibe !!So happy to be a Brand ambassador for Life Beer – NB thanks @pauloo2104”
3346641600000578-3544815-image-a-101_1460927637814
3

CHANZO na Bongo5

0 comments:

Post a Comment