Friday, April 29, 2016

Faiza-akiwa-nje-ya-nchi
Msanii wa filamu ambaye haishi vituko, Faiza Ally ameamua kuja kivingine kwa kuanzisha biashara mpya ya chupi za kuogolea.

Kupitia ukurasa wa instagram, Faiza ameandika: Haya wapenzi wangu mimi#wapenzi wa beach# nawaletea chupi nzuri za kuogelea #swimming dress za wakubwa #watoto #wanaume na wanawake kaeni tayari kupendeza # beach mwenzie vichupi ama vepe 😄😅 #Look good#feel good #life is good
Hivi karibuni mwanadada huyo ameachia filamu yake mpya iitwayo, ‘Baby Mama Drama’.

0 comments:

Post a Comment