Wednesday, April 27, 2016

Huddah-Monroe
Huddah Monroe ameungana na mastaa wa Nigeria kutengeneza filamu mpya.

Huddah ambaye yupo nchini Nigeria amepost picha akiwa anaonekana yupo location na waigizaji mastaa wa nchi hiyo, Candy, Mike Ezuruonye na Miss Kenya 2004 .
Huddah alipost picha ya kwanza na kuandika: “ACTION ….. It’s so hard being soooo BEAUTIFUL with a Personality … Bitches dislike you for NO apparent reason …. I Intimidated you or nah!? Na God work !  #BlameMyCreator” 
huddah34nigfil
Aidha aliendelea kupost picha nyingine na kuandika:”A C T I O N TIME….  cc @mikeezu @julietochieng @charlesuwagbai @realangelaokorie #BrotherJekwu”
huddah35nigfim
Ngoja tuone nini kitatokea kwa Huddah labda ndiyo kipaji chake kingine alichokigundua.

Jiunge na Bongo5.

0 comments:

Post a Comment