
Wanawake wa Tanzania wameamua kupeana mashavu.
Jokate Mwegelo amewatumia warembo maarufu wakiwemo Hamisa Mobeto, Miss Tanzania wa zamani, Gena Mpangala, na Tunda na Husna Maulid, kupromote nywele zake mpya za Malaika kupitia brand yake ya Kidoti.
Tazama picha za warembo hao na picha zingine.







0 comments:
Post a Comment