Friday, April 29, 2016

index11
Msajili wa Hazina Bw. Laurence Mafuru akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu umiliki wa hisa za Serikali katika Shirika la Usafirishaji Dar es salaam (UDA) na kubainisha kuwa Serikali inamiliki hisa 49% katika shirika hilo kinyume na upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuwa Serikali imeuza hisa zote kwa muwekezaji. Kulia ni Afisa Habari wa Ofisi ya Msajili wa Hazina Bw. Gerald Chami.

index22Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Msajili wa Hazina leo jijini Dar es salaam uliolenga kutoa ufafanuzi kuhusu faida za Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika kuongeza uwajibikaji na tija kwenye utumishi wa umma hasa kwa kuzingatia mapendekezo ya ripoti  ya mwaka 2014/2015.

0 comments:

Post a Comment