Thursday, April 28, 2016

5
Baada ya kutiwa pingu

Yamemkuta! Mrembo ambaye pia ni msanii wa Bongo Muvi, Rashida au Husna Adam mwanzoni mwa wiki hii alijikuta kwenye wakati mgumu baada kukamatwa na polisi na kupigwa pingu mkoani Arusha na kusafirishwa hadi jijini Dar akituhumiwa kuiba gari aina ya Toyota  Premio lenye namba za usajili, T 322 DNK.

Amani lilishuhudia tukio la kuletwa kwa msanii huyo ambapo Jumatatu saa kumi na moja jioni, alishushwa kwenye Basi la Kirumo Stendi Kuu ya Mabasi ya Mkoani, Ubungo jijini Dar.Akumbwa na aibu ya mwakaAtokwa machozi baada ya kuona watu wakimsikitikia kutiwa mbaroni.
  • 9Kumbe sio gari tu.Adaiwa kukomba na vitu vya ndani ya nyumba pamoja na pesa za mumewe.Atokomea navyo Arusha.Baadaye akarudi kuomba msamaha tena wa maandishi kwa mumewe, akasamehewa.Baada ya siku chache, atoroka tena na gari hiloPolisi wamsaka, wamnasaAMANI lanasa skendo nzima.

1 comment:

  1. Mademu wa bongo muvi bwana, yaani kil mmoja anaishi kwa maisha ya maigizo kama ya Wema.

    ReplyDelete