
Diva anasema hatatokea mwanaume atakayekuja kumpenda kama alivyompenda mpenzi wake wa kwanza
Mpenzi wake huyo alifariki kwa ajali ya gari kipindi Diva yupo kidato cha tano.
“Kiukweli that was the first person ambaye nilimpenda, hawa wengine niko nao tu like… he was my first love, mpaka kesho nampenda, I still love him a lot, na sijui nani atakuja kureplace that kind of love,” anasema Diva.
Anasema hawezi kumsahau sababu walikua pamoja tangu wakiwa watoto.
“Ni mtu ambaye nilimzoea sana, tulikuwa na plans.”
0 comments:
Post a Comment