Saturday, April 16, 2016

12599504_579431982212601_1008136478_n
Muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o, amesema hutegemea marafiki zake kumpasha habari za kila siku..


“Similiki TV, lakini huwa napata habari kwa njia zingine,” alisema. “Nina marafiki ambao ni wasomaji wazuri wa habari, huwa wananipa muhtasari.”
“Ni binadamu wanaofanya kazi kama app za habari, ni wa aina yake.”
Muigizaji huyo ameliambia jarida la Stylist kuwa husafiri muda mwingi.

CHANZO na Bongo5

0 comments:

Post a Comment