Angel alifunga ndoa na Godsave Sakafu mwaka jana. Ametangaza habari hizo njema kupitia Twitter.
na aliandika maneno haya . Alifajiri ya jana mungu ametupa abouncing baby boy anaitwa Brachah Testimony BT Heshima na utukufu umrudie mungu.
Hivi karibuni Angel aliachia video ya wimbo wake ‘Salama’ uliopo kwenye album yake, New Day.
0 comments:
Post a Comment