Posted by Williammalecela.com on Thursday, April 28, 2016
 |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala amaliza Mgogoro wa mahali pakujenga zahanati ya kijiji
Ameagiza zahanati isijengwe eneo lenye Mgogoro ambalo ndilo
lililokusudiwa kwasasa na badala yake lijengwe eneo la ghala karibu na
sekondari ya kata Aidha amemwagiza mkurugenzi wa halmashauri
kuwachukulia hatua mhandisi wa ujenzi kwa kuwapotosha wananchi kuanza
ujenzi sehemu yenye Mgogoro |
0 comments:
Post a Comment