Sunday, April 24, 2016

nyoshe
Hatimaye msanii wa FM Academia Nyosh El Saadat amezungumza kuhusu maneno yanayosemwa kuwa wasanii wa muziki wa dansi wenye asili ya kikongo hawawezi kuishi bila vizinga.
Akiongea na Enewz ya Eatv, Nyoshi alisema ni kawaida kwa wao kufanya hivyo kwani mashabiki wao ambao hupenda kusifiwa huwamwagia manoti.
“Ukiona mtu haji katika show si kwamba anakimbia kuombwa, huyo atakuwa hana pesa kwa sababu sisi pia hatuwaombi tunawasifia wao ndio wanamwaga pesa alisema”, Nyoshi

CHANZO na Bongo5

0 comments:

Post a Comment