Sunday, April 17, 2016

 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha Wageni alipopita Ofisi ya CCM mkoa wa Arusha akiwanjiani kwnda wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo jana.
Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza na kulia ni Katibu Mwenezi wa mkoa huo, Shabani Mdoe
 Katibu Mwenezi wa mkoa wa Arusha Shabani Mdoe akitambulisha wageni, Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Ole Sendeka alipofika Ofisi ya CCm mkoa wa Arusha akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani humo jana akiwa katika ziara ya kikazi
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Arusha alipofika Ofisi ya CCM mkoani huni humo akiwa njiani kwenda wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi
 Vijana wa bodaboda wakimsalimia Msemaji wa CCM, Ole Sendeka wakati wa mapokezi akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani Arusha kikazi. Kushoto ni wenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza
 Msafara wa Msemaji wa CCM Ole Sendeka ukienda wilayani Longido mkoani Arusha
 Hiyo Ndiyo Longido
 Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka ulipokuwa njiani kwenda Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha 
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido Ernest Kahindi, alipofika Ofisi ya CCm ya wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Kata ya Engarenaibor akiwa katika ziara ya kikazi
 Mwanannchi wa Longido
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akienda katika Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha
 Msemaji wa CCM, Ole sendeka akisaini kitabu cha wageni alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha jana

0 comments:

Post a Comment