Posted by Williammalecela.com on Wednesday, April 13, 2016
Kufuatia tabia ya akina dada wengi kuweka picha za nusu
utupu katika akaunti zao kwenye mitandao ya kijamii, wakiwemo mastaa
kama Lulu, Masogange na wengineo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
imewapa kibano kikali, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili.
0 comments:
Post a Comment