Majivu ya mwili wa mwanamuziki nyota Prince ulichukuliwa ukiwa umebebwa kwenye chombo kilichofunikwa na koti jeusi na kuingizwa kweye gari punde tu baada ya kuchomwa moto.
Prince ambaye ni muumini wa dhehebu la dini ya Mashahidi wa Yehova aliacha wosia mwili wake kuchomwa na kufanyiwa maziko ya siri na ya kawaida yaliyogharimu dola 1,600.





0 comments:
Post a Comment