Mashabiki
wadata na picha za Yemi Alade kwenye jarida la OnoBello Msanii kutoka
Nigeria Yemi Alade ameonekana kwenye toleo jipya la jarida la OnoBello
akiwa amevalia nguo za kuogelea.
Picha
hizo zimesambaa sana mtandaoni na zimeonekana kuwavutia mashabiki wengi
wa staa huyo ambaye kwa sasa anatangaza album mpya, Mama Africa.




0 comments:
Post a Comment