Mtayarishaji wa muziki Tuddy Thomas
Mtayarishaji wa muziki maarufu kutoka Bongo Tuddy Thomas amefunguka kuhusiana na kashfa ya tabia ya Diamond Platnumz kutoa saini za watayarishaji wa nyimbo zake kwenye nyimbo hizo.
Akizungumza na Enewz Tuddy amesema kuwa hiyo siyo tabia ya Diamond kwasababu yeye husikiliza nyimbo za Diamond kabla hazijatoka na nyingine zinakuja zikiwa hazina saini za watayarishaji hao.
0 comments:
Post a Comment