Sunday, April 3, 2016

mtangazaji huyo aliye kua times fm na kuendesha kipindi cha usiku cha jamp off sasa ameweza kuonekana katika office za E fm mara baada ya kutokusikika kwa muda times fm
tangu msimu mpya wa radio hiyo ulipo anza katika ziara ya mkuu wa mkoa wa Dar mweshimiwa makonda kutembelea radio hiyo ya E fm ndipo tulipo kutana naye mtangazaji huyoo Jabir Saleh ukipenda muitw kibonge tozi

0 comments:

Post a Comment