"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni
ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi
kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe.
Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna
kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia" - Rais Magufuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment