".....Mnawaibia
watanzania halafu mnalalamika haki za binadamu ninapowatumbua na
kuwatangaza hadharani. Nitaendelea kuwatumbua na ninyi mpate uchungu
mliowasababishia watanzania maskini.......Hata hao wanaowatetea kwa haki
za kibinadamu naona nao ni MAJIPU na tutaanza kuwafuatilia.......Kwa
nini mfurahie kutajwa hadharani siku ya kuteuliwa lakini msitajwe
hadharani siku ya kutumbuliwa!!!"----Rais John Magufuli.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment