Wednesday, April 27, 2016

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John pombe magufuli amesimama juu ya nondo huku akiangalia kazi ya ujenzi wa chuo kikuu MUHIMBILI
kinachoedelea kujengwa eneo la MLOGANZILA KIBAMBA nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Rais Magufuli amefanya ziara hiyo ili kuangalia ujenzi huo na kikikamilika chuo hicho kutawezesha wanafunzi 15,000 wa udaktari kudahiliwa chuo hicho kitakuwa na hospital kubwa kama hospital ya Taifa ya MUHIMBILI na nyumba za madaktari.

0 comments:

Post a Comment