Tuesday, April 26, 2016

12547533_1555227544768332_1003974976_n
Missrizy
Rapper huyo amethibitisha uhusiano huo exclusive kupitia Bongo5. Wawili hao walifanya wimbo uitwao ‘Hawajui.’

“Tuna chemistry kubwa sana na Missrizy sio tu kwenye muziki yaani hata tukikaa hivi tu, kwahiyo she is my best friend and girlfriend,” amesema.

11917943_1459148194391843_795592269_n

M-Rap na Missrizy

“Sijawahi kusema ila nimeamua nikuambie sasa hivi kwasababu watu wengi wamekuwa wakiniuliza, let me be open.”
11917775_1490341857931347_1579113619_n
Amemzungumzia Missrizy kama muimbaji mwenye kipaji kikubwa cha kuimba, kutunga na kucheza.
917218_1742135249348386_775968882_n
Hivi karibuni wawili hao walichukuliwa na uongozi mpya uitwao Muki International.

0 comments:

Post a Comment