Friday, April 8, 2016

12822367_457919781078869_1047062966_n
Rapper Mabeste amesema anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mchumba wake wa siku nyingi, Lisa aliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Kendrick.
Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV, Mabeste alisema

“Hivi karibuni na Mama watoto wangu Lisa tumetoka kuwaona wazazi wake na kuna taratibu nimepatiwa vitu vingine zaidi watu tutawajulisha. Zaidi nipo katika harakati za kuweka mambo sawa, nadhani hadi mwezi wa nane tutakuwa tunabariki ndoa, yaani mwaka huu ntakuwa busy zaidi na mambo ya ndoa na kazi zangu za muziki.”

chanzo na Bongo5.

0 comments:

Post a Comment