Monday, April 25, 2016




Siwema, Hata kama unamchukia mtu kiasi gani ukisikia katupwa rumande roho ya huruma itakuvaa unless moyo waako uwe wa chuma, eti wajameni tuambieane nini haswa kilimkuta huyu dada,nasiikia tu makosa ya mtandaoni ila sina uhakika mwenye uhakika atuambie, daaah kama ni makosa ya mtandaoni TCRA itawanyoosha wengi, hivi kwanini mtu anafungua fake account na kumtukana mtu?  mbona sisi tuna blog live na majina yetu mnayajua yaani mie mtu ukijificha nyuma ya pazia nafahamu unaniogopa kama kweli unataka kunisuta/kuniambia ukweli ni face mie mwenyewe sio kufungua acc fake

all in all please kwa anayefahamu yamemkuta yapi dada Siwema atuambie.

0 comments:

Post a Comment