Sunday, April 24, 2016




















Categories:

2 comments:

  1. Hivi nyinyi mnauhakika kama bado wako pamoja?watu wameshaachana bado tu mnamuweka ili iweje sasa. jifunzeni kufatilia mamabo au uwe unafikilia vichwa vya habari vya kuandika kabla. huyo momo kashaachana na Phd muda tu yapata miezi 4. Mimi kama mtu wake wa karibu nakuhakikishia.

    ReplyDelete
  2. Duu nimetumiwa hii picha na mtu nikasema huyu Mounah akiona bado wanamuandika kenye ma blog kwamba yuko na Hemedi anaeza lia.
    Kiukweli mimi ni rafiki wa Mounah na najua wameshaachana na huyo kaka maana najua Mounah amerudiana na boyfriend wake aliekuwa nae miaka 8, anaitwa Ben Sitta, Ni mtoto wa Samweli Sitta. mi nilijua tu haya yangetokea, Yani huyo unaambiwa ni mwanaume wake wa kwanza na japo huachana mara chache lakini nilijua tu angerudi. Kwani Familia wote wanawatambua.
    We kaka lemutuz, wacha kuweka picha za watu ovyo.

    ReplyDelete