Saturday, April 16, 2016


Diamond ni Forbes billionaire in the making. Kwasababu imefahamika kuwa, uongozi wake upo kwenye mazungumzo ya staa huyo kupata endorsement nyingine.Ubuyu huo umemwaga na mmoja wa mameneja wake, Sallam Sharaff.

Akiongea kwa utani kujibu tweet ya Diamond kuhusu show yake ya wikiendi hii Mabibo Hostel, Sallam amesema:
@diamondplatnumz swala lakunitangazia vitu visivyo vya kweli sio zuri… Kesho nitakwepo Mabibo Hostel kwa ajili ya kikazi tu… Sababu @ricardomomo atakuwepo MWANZA na @harmonize_tz, @babutale atakuwa na kikao kukamilisha Endorsement nyingine, @mkubwafella atakuwepo kwenye uzinduzi wa Daraja la Kigamboni…!! Sasa uwepo wangu mie ni wa Kikazi tu na sio sababu Show inafanyika MABIBO HOSTEL..!!”
Ni hivi karibuni tu Diamond alisaini mkataba wa ubalozi wa tomato sauce, Red Gold.

0 comments:

Post a Comment