Friday, April 15, 2016




Na Imelda Mtema
Siku chache baada ya gazeti dada na hili, Risasi Jumamosi kuandika juu ya aliyekuwa kigogo wa msanii Wema Sepetu, Clement Kiondo ‘CK’ kunaswa
akiuza mishikaki, tukio hilo limemliza shosti wa Wema, Kajala Masanja.

0 comments:

Post a Comment