Monday, April 25, 2016

Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon, amekanusha taarifa zilizoandikwa
kwenye gazeti moja la kila siku kuwa amempa Wema Sepetu nafasi ya upendeleo kuigiza kwenye filamu yake mpya, XBaller. 

0 comments:

Post a Comment