Wednesday, April 6, 2016


12940315_380121725496292_210005054_n
Kuna kitu cha kuvutia pale msichana anapovaa miwani – tena zile za macho tofauti na zile za fashion! Humfanya mwanamke anaonekane smart, ana akili na anayejielewa.

Shilole ameamua kuja na swag hiyo na inaonekana kumtoa na kumfanya aonekane kama corporate girl fulani hivi! Check picha zake zingine hapo chini.
12940713_1061127217281504_1892278256_n
12965647_760498600718516_57594868_n

CHANZO  na Bongo5.com 

0 comments:

Post a Comment