Saturday, April 16, 2016

Kupitia ukurasa wa IG wale wanaojiita team wema sepetu wameamua kufanya yao kwaku unganisha picha ya diamond akiwa na kipini puani na ya mama Tiffa Zarri nakuandika maneno haya.

0 comments:

Post a Comment