Friday, April 1, 2016

Morning Guys Mungu anasema "WOMAN ARE WEAK VESSELS" maana yake ni Binadam tupo weak lakini Wanawake ni zaidi cause sometimes inapokuja kwenye mapenzi ni vigumu sana kujua Mwanamke anataka nini hasa? na hata Mimi binafsi imenitokea Mwanaume unampenda Mwanamke kwa Moyo wako wote na AKILI zako zote kama Mungu anavyotaka at Biblia...now badala ya Mwanamke kupokea kama a Priviledge na kukupenda back na kumuheshimu Mamen yeye ataanza kwenda kujigamba kwa mabebez wenziwe kuwa wewe Mwanaume unayempenda ni mjinga na kwamba bila yeye huwezi kuishi au utakufa so kosa lako Mwanaume linakuwa kama lilivyokuwa kosa langu kumpenda mwanamke... gahfla ataanza kupokea ushauri wa ujinga kutoka mabebe wenzake na kuanza kutingisha kibiriti kama kimejaa now Mwanaume ukitetereka the very same woman uliyempenda na kumpa all your love and soul ataku destroy unless you stand firm as I did then Mwanamke atajifanya jeuri na kwa Ujinga atatafuta Mwanaume mwingine akuonyeshe kuwa hajali MASIKINI ya Mungu hajui kwamba ukitoka kwenye mapenzi unahitaji muda mrefu sana ku Overcome na ku Heal kwanza hakuna Binadam Duniani aliyeumbwa na Uwezo wa kuachana na Mpenzi Mmoja Leo kesho akaingia mapenzi mapya akawa sawa NEVER HAPPENED! ...baada ya muda utaona Mwanamke anaanza kukufuatilia Maisha yako Mwanaume aliyekuacha hahahha guys please ikikutokea LIWACHE mzafantaz usilirudie hata likilia machozi ya gademu Damu cause ni Machozi ya Mamba kukosa Nyama...JAMANI WANAWAKE JIFUNZENI MNAUMIZA SANA WATOTO IN THE PROCESS! na the worst mnajiumiza wenyewe zaidi! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment