Sasa ile kazi ya kuonesha Chura Live ikaanza ndani ya maisha Basement
Video
ya ngoma mpya ya mwanadada Snura iitwayo "Chura" imezinduliwa ndani
ya Maisha Basement jijini Dar es Salaam na ngoma hiyo iliyoombwa zaidi
ya mara 4 irudiwe imekuwa kama nuru kwa sasa kwa mashabiki wake.
Hyperman Hk akizungumzia jambo wakati wa uzinduzi wa video mpya ya Chura ndani ya maisha Basement.
Stejini
ni Tony TBWAY 360(aliyeshika mipaza sauti) akiwasimamia wadada
waliokuwa wanashindania zawadi kutoka kwa East Afrika Radio na Televison
kwenye sherehe za kuazimisha miaka 17
Mashabiki na wapenzi wa Snura wa Majanga wakiendelea kufuatilia kwa makini shoo yake huku wakiwa na hamu ya kumwona huyo chura
Mashabiki wakitazama kichupa kipya cha Snura kiitwacho Chura
0 comments:
Post a Comment