Sunday, April 10, 2016


Kumekua na stori zinaendelea mitandaoni na hasa ni baada ya Mwigizaji Wema Sepetualiyekaa sana kwenye vichwa vya habari hivi karibuni kwa kuwa mapenzini na mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014 Mtanzania Idris Sultan ambapo stori hizo ni baada ya Wema kuonekana akimbusu mwanaume.

0 comments:

Post a Comment