Ali Khatib Haji ‘Shkuba’.
Stori: Hashim Aziz na Makongoro Oging’, UWAZIKufuatia
kuendelea kushikiliwa kwa kigogo anayedaiwa kujishughulisha na biashara
ya madawa
ya kulevya ‘unga’, Ali Khatib Haji ‘Shkuba’ (pichani) katika Gereza Kuu la Mkoa wa Lindi, hofu imezidi kutanda kwa madai kwamba, mfanyabiashara huyo yupo kwenye maandalizi ya kutoroka gerezani hapo, Uwazi limechimba kwa kina.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment