Saturday, April 9, 2016

lil1
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kaikagua mashine ya MRI katika hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma wakati alipoitembela  Aprili 9, 2016. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, , Dkt. Hamis Kigangwala.
(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu.)
lil2
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Khamis Kigangwala wakikagua mashine ya Mobile Digital xray wakati  walipotembelea hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Aprili 9, 2016. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Hospitali hiyo Profesa Gesai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment