Stori: Waandishi Wetu, Wikienda
DAR
ES SALAAM: Siri imefichuka! Sakata la muuza nyago (video queen) wa
Bongo anayetajwa kwa jina moja la Irene a.k.a Lynn, anayedaiwa kutoka
kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, limechukua sura mpya ikielezwa kuwa nyuma yake kuna mchezo mchafu anaofanyiwa mama mtoto wa msanii huyo, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment