Staa
wa Movie Bongo, Wema Sepetu ambaye amekuwa akizichukua headlines mara
kwa mara, Sasa amezidi kupiga hatua nyingine ambayo inamfanya aingie
kwenye rekodi kwa kuwa staa wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki na
Kati kwa kuanzisha Mobile appilication itakayokuwa ikitoa taarifa
mbalimbali za kazi zake na maisha yake.
Wema Sepetu, Muna Alphonce na Idriss Sultan
0 comments:
Post a Comment