Ex na mama mtoto wa rapa Tyga ‘Blac Chyna’ na mpenzi wake Rob Kardashian wanategemea mtoto wao wa kwanza.
Blac Chyna ametangaza habari hizi nzuri kwenye siku chache kabla ya siku ya MAMA duniani kwa kuweka picha yake akiwa na tumbo la ujauzito kwenye instagram yake.
Huyu atakuwa mtoto wa pili wa Blac Chyna, wakwanza alikuwa wa Tyga mwaka 2012 ‘King Cairo Stevenson’.
Ex wa Blac Chyna ‘Tyga’ anatoka kwa sasa na Kylie Jenner,
0 comments:
Post a Comment