Tuesday, May 17, 2016

h shared JamiiForums's photo.


TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameshindwa katika kesi aliyoifungua kupinga ushindi wa Hasna Mwilima wa CCM.

-Kesi ilifunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Tabora na ilikuwa chini ya Jaji Ferdinand Wambari.

0 comments:

Post a Comment