Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 31, 2016
Ni Mei 31, 2016 ambapo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameingia kwenye headlines za kufanya mgomo wa kudai fedha za kujikimu katika matumizi yao ya kila siku.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment