Tuesday, May 24, 2016

Aunty Ezekiel alitamani angeenda na mwavuli kujikinga na mvua ya hela iliyomnyeshea juzi kwenye birthday ya kutimiza mwaka mmoja ya
mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo. Ni Diamond ndiye aliyesababisha mafuriko ya noti yaliyomfanya muigizaji huyo apagawe! Check video hiyo ujionee mwenyewe.

0 comments:

Post a Comment